![](/rp/kFAqShRrnkQMbH6NYLBYoJ3lq9s.png)
Mwananchi | Mwananchi
Habari za kitaifa na kimataifa, uchambuzi wa kina, michezo, burudani na zaidi kutoka Mwananchi.
Mtanzania ashinda ukurugenzi jumuiya ya afya ECSA-HC
1 天前 · Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Kinga wa Wizara ya Afya wa Tanzania, Dk Ntuli Kapologwe ameibuka mshindi wa nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Afya ya Nchi za Afrika Mashariki, Kati na Kusini (ECSA – HC) na kuwashinda wagombea wengine sita waliokuwa wakiwania nafasi hiyo. Uchaguzi wa nafasi hiyo ...
Cha kujifunza kiuchumi kwenye miradi inayofadhiliwa
18 小时之前 · Uamuzi wa hivi karibuni wa Serikali ya Marekani kusitisha ufadhili wa programu zote za Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) umetia wasiwasi wa namna yake kwa wadau wa maendeleo. Hatua hii, ambayo tunaweza kusema ni kuzuia utoaji wa mabilioni ya dola za misaada, imefichua kwamba kuna ...
Vijiji 23 vinavyopambana mahakamani kujinasua kufutwa Mbarali
3 天之前 · Dar es Salaam. Baada ya Mahakama Kuu Masjala Ndogo Mbeya kutupilia mbali moja kati ya kesi mbili zilizofunguliwa mahakamani hapo na wananchi kutoka vijiji 23 vikipinga kusudio la Serikali kutaka kuvifuta, sasa wananchi hao wanakwenda Mahakama ya Rufani kupambana kurejesha kesi hiyo ili wapate kusikilizwa.
Dk Nchimbi ateta na mabalozi wa nchi nne | Mwananchi
1 天前 · Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Ahmed Djellal, ambaye alifika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuaga, leo Jumatano Februari 12, 2025. Dar es Salaam. Mabalozi wa nchi ...
UCHAMBUZI WA MALOTO: Lowassa aliwatazama Watanzania …
2 天之前 · Edward Ngoyai Lowassa, tayari ameshatimiza mwaka mmoja tangu alipovuta pumzi ya mwisho, Februari 10, 2024 akiwa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Muhimbili. Ndani ya mwaka mmoja, mengi yametokea, mengine akiamshwa na kunong'onezwa, hata na mkewe Regina, atakataa. Lowassa anaweza kuamini vipi ...
Serikali yaachia Sh254 bilioni kulipa makandarasi | Mwananchi
3 天之前 · Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema Serikali imelipa takribani Sh254 bilioni ndani ya miezi miwili kwa wakandarasi mbalimbali wanaotekeleza miradi ya barabara na madaraja nchini. Kufanyika kwa malipo hayo kwa mujibu wa Ulega ni utejkelezwaji wa maelekezo ya Rais Samia Suluhu ...
Mbowe: Twendeni tukaionyeshe dunia tunaweza kujijenga ndani …
2025年1月20日 · Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kuelekea mkutano mkuu wa chama hicho kesho, ni nafasi ya kuionyesha dunia wanavyoweza kujijenga ndani ya tofauti zilizopo. Amesema watu wengi wanaiangalia Chadema, wakiwemo wale wa macho ya husda na wivu na wangetamani kuona mkutano huo ...
Siku 13 zijazo wakazi wa Tabata, Ukonga na Kinyerezi kuanza …
6 天之前 · Dar es Salaam. Wakazi wa Kinyerezi, Tabata na Ukonga imeelezwa wataondokana na adha ya kukosa maji iliyokuwa ikiwakabili baada ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) kutangaza kuanza kusambaza maji safi kuanzia Februari 20, 2025. Hatua hiyo imekuja baada ya kukamilika ...
Mama Mongella apaza kilio pensheni kiduchu kwa viongozi wastaafu
2025年1月8日 · "Watu wananiona mtu, wananiheshimu napata shikamoo zangu kwa wingi, kwa kweli hilo sina tatizo nalo, isipokuwa hili la kusema huyu kwa thamani ya kazi aliyoifanya kwa nchi hii, kweli unampa Sh100,000 afanye nayo nini, kwa nini isilinganishwe ya kwamba nilistaafu nikiwa balozi au nilistaafu nikiwa waziri, basi na mimi nipewe anachopewa waziri sasa hivi anapostaafu tatizo liko wapi,” amehoji.