KIUNGO wa Barcelona na Uholanzi, Frenkie de Jong, 27, amepewa ruhusa ya kuondoka katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi ikiwa atapata timu itakayokuwa tayari kumnunua.
DABI ya watani wa jadi inayowakutanisha Simba na Yanga itapigwa Machi 4 baada ya mapumziko ya siku 30 ya Ligi. Dabi hiyo ya Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) inapigwa siku nne tu kabla ya watani hao ...