Mgogoro wowote lazima uwe na wahusika wakuu. Inawezekana pia kukawa na wahusika wadogo. Ili kuelewa msingi wa mgogoro, ni muhimu kutambua wahusika wote.
M23 na majeshi ya Rwanda wameuchukua mji wenye madini wa Nyabibwe, kilometa 100 kutoka Bukavu na kilometa 70 kutoka uwanja wa ndege wa jimbo hilo. Kuanzishwa kwa mashambulizi hayo mapya mashariki mwa ...
Mapigano hayo yanavunja usitishaji mapigano ambao ulikuwa umetangaza kwa upande mmoja. Katika mapigano hayo wapiganaji hao waliuteka mji wa uchimbaji madini wa Kivu Kusini wa Nyabibwe, takriban ...