KUSHINDA mechi ya ufunguzi wa michuano ya ICC League B dhidi ya Italy na tatu nyingine zinazofuata, ndio azma kuu ya timu ya Tanzania katika ligi hii kimataifa inayoanza kuchezwa rasmi ijumaa ...
MKONGWE katika muziki wa Uganda, Bebe Cool anazidi kuchanja mbuga na kibao chake 'Circumference' alichoachia hivi karibuni.
Ni chini ya miezi miwili tu kabla ya mingurumo 'vroooooom' ya injini za magari kusikika kwa mara nyingine tena nchini Kenya, ...
Uharibifu wa mali umeripotiwa kutokea Kinshasa wakati wa maandamano yalioongozwa na raia wenye hasira kutokana na kuendelea ...
Shirika la ndege la Ubelgiji limetangaza kusitisha safari zake za leo Jumatano kwenda na kutoka jijini Kinshasa kutokana na ...
Zaidi ya watu milioni moja laki mbili walio na virusi vya UKIMWI nchini Uganda wamo katika mashaka makubwa kufuatia hatua ya Marekani kusitisha ufadhili kwa huduma zinazotolewa kwao.
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果