Kwa mujibu wa mtandao wa kuhifadhi taarifa za mabondia duniani, boxrec unaonyesha pambano hilo ndiyo lilikuwa la kwanza kwa Mnemwa na mpinzani wake katika ngumi za kulipwa, akipewa namba ...
Marekani "inalaani" mashambulizi ya Rwanda na kundi la waasi la M23 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo , mwakilishi wake katika Umoja wa Mataifa amesema siku ya Jumapili, akionya ...
Ripoti hiyo inaeleza kuwa Jeshi la Congo pamoja na waasi wa M23 wanahusika na ongezeko la matumizi ya silaha zisizo sahihi, huku raia wakikosa ulinzi. Kundi la M23, linalodai kuwa linawalinda Watutsi, ...
Mwaka 2018, ikashiriki tena na kupangwa kundi D na kumaliza nafasi ya tatu na pointi mbili, nyuma ya Congo iliyomaliza kinara na pointi saba, ikifuatiwa na Angola iliyokuwa na pointi tano, huku ...
Stars ilianza michuano ya mwaka huu kwa kufungwa mabao 3-0 na Morocco kabla ya kuja kutoka sare ya bao 1-1 na Zambia na kutoka suluhu na DR Congo. Matokeo hayo, yameifanya Stars kumaliza Kundi F ikiwa ...