Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa Wilaya ya Temeke, Hashim Mziray amemtangaza Mohamed Saleh Mohamed kuwa ndiye Mwenyekiti wa chama cha soka wilayani humo (TEFA) baada ya kushinda ...
Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imeahidi kutoa Dola za Marekani 2.5 bilioni sawa na Sh6.4 trilioni, kwa ajili ya ...
Baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 3-0 ugenini dhidi ya Tabora United, juzi Jumapili, Simba imeamua kuweka kambi ya ...
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limewataka wananchi kuchukua tahadhari za kuepuka maeneo ya fukwe za bahari pamoja na miamba ya maziwa na mito ili kujinusuru na mafuriko n ...
BAADHI ya wafanyabiashara wameiomba serikali kuangalia zaidi utitiri  wa sheria za kodi  zinazowakandamiza ikiwemo ushuru wa ...
Mmoja wa askari wa usalama barabarani akipokea pesa ya ‘ushirikiano’ kutoka kwa kondakta katika moja ya vituo vya ukaguzi barabarani mkoani Kigoma kama alivyonaswa na mwandishi wa ripoti hii ZIKIWA zi ...
DAR-ES-SALAAM : TANZANIA imezindua rasmi Tuzo za Tanzania Comedy Award kwa mara ya kwanza, lengo likiwa ni kutambua na kuthamini kazi za wasanii wa vichekesho wanaofanya vizuri katika tasnia ya ...
TIMU ya Taifa ya Zanzibar Heroes, imefanikiwa kubeba ubingwa wa Kombe la Mapinduzi 2025 baada ya kuifunga Burkina Faso mabao 2-1. Katika mchezo wa fainali uliochezwa leo Januari 13, 2025 kwenye Uwanja ...