Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema ujenzi wa Uwanja wa michezo wa Arusha uliopewa jin la Samia Complex unaotarajiwa ...
WAKATI nchi ya Namibia ikiomboleza kifo cha Rais wa Kwanza wa taifa hilo tangu kupata uhuru wake, Sam Nujoma, mwonekano wake ...
Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imeahidi kutoa Dola za Marekani 2.5 bilioni sawa na Sh6.4 trilioni, kwa ajili ya ...
SHIRIKISHO la Ngumi Tanzania (BFT) limetangaza mabondia 15 wa timu ya taifa ya ngumi watakaoingia kambini kujiandaa ...
Amesema taarifa za Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), zilizotolewa Januari 23 zimetabiri uwepo wa mvua za wastani hadi juu ya wastani katika maeneo ya mashariki mwa Mikoa ya Shinyanga, Simiyu, Mara ...
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa Wilaya ya Temeke, Hashim Mziray amemtangaza Mohamed Saleh Mohamed kuwa ndiye Mwenyekiti wa chama cha soka wilayani humo (TEFA) baada ya kushinda ...
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Kampuni ya Vodacom Tanzania, Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) pamoja na Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania ...
Wikiendi iliyopita Simba na Yanga zilimaliza mechi zao za viporo vyao vizuri na kuzidisha ushindani wa kuwania ubingwa wa ...