Kikwete aliijua suluhu ya CCM ni Kinana, ila kila alipomshirikisha amteue kuwa Katibu Mkuu, alimkatalia. Ilibidi Kikwete awashirikishe wazee, Rais wa Pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi na Mkapa, ...