Aidha, jiji hili linahudumu kama lango la vivutio maarufu vya utalii, likiwemo Hifadhi ya Serengeti, Mlima Kilimanjaro, na visiwa vya Zanzibar. Afrika Kusini ni mwekezaji mkubwa nchini Tanzania, hasa ...
Wanafunzi wasomao kozi ya huduma za hoteli katika Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) wanatarajiwa kuanza mafunzo ya ziada ya ...
Huwa nashangaa mafyatu wanavyofikiri kinyumenyume. Leo, nitafyatua kasheshe ya kuwaonea akina Yero sobai wanaohamishwa kwenye ardhi ya mababu zao utadhani waanimo toka Serengeti kwenda Burigi-Chato ...