Kivutio kikubwa katika onyesho hilo ni baada ya wasanii waliokuwa wakiunda kundi la Sauti Sol Kenya, kuingia kwa kushtukiza na kuungana na Burna Boy jukwaani na kutumbuiza wimbo wa 'Time Flies' ...
Sarafina Simioni, binti mdogo lakini mwenye sauti kubwa, ni miongoni mwa mashujaa wa zama hizi. Ni mwanaharakati shupavu wa masuala ya jinsia nchini Tanzania, anayejituma kuelimisha na kuhamasisha ...
SK2 / S02S 26.02.2025 26 Februari 2025 Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Wapatanishi wa Israel na Hamas wamefikia makubaliano ya kuwaachia huru wafungwa wa Kipalestina / Rais wa Afrika ...
DAR ES SALAAM: TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inatarajia kuanza kufanya upasuaji wa ubongo kwa kutumia mawimbi ya sauti. Hatua hiyo inaifanya hospitali hiyo kuwa ya kwanza kwa ...
Zanzibar. Tamasha la Muziki la Sauti za Busara la 22, lililoanza Februari 14, 2025 limetamatika usiku wa kuamkia leo Jumatatu Februari 17, 2025 kwa burudani ya kusisimua kutoka kwa wasanii wa ndani na ...