Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kukusanya Maoni ya Maboresho ya Kodi, Balozi Ombeni Sefue, ameongoza wajumbe wa tume hiyo katika zoezi la kukusanya maoni ya wadau wa kodi, likianza rasmi mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri, Félix-Antoine Tshisekedi, amezungumza jioni ya Alhamisi, Januari 30, na wabunge wa kitaifa na maseneta kutoka Kivu Kaskazini na Kusini kuhusu hali ya usalama inayotia wasiwasi ...
Wakati taarifa zikieleza kuwa waasi wa M23 wameanza kuelekea huko Bukavu, Rwanda imetahadharisha kuwa kundi hilo huenda likachukua udhibiti wa maeneo mengine zaidi huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemo ...
SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC), limeongeza safari za treni la daladala maarufu ‘Mwakyembe’, kutokana na mahitaji ya usafiri kwa siku mbili, kuingia na kutoka mjini kati, Dar es Salaam. Mkuu wa Kitengo ...