Katika juhudi za kuboresha huduma za usafiri wa anga nchini, Shirika la Ndege la Precision Air limeanzisha safari mpya za ndege kati ya Dar es Salaam na Iringa, ambazo zitaanza rasmi Machi 03, 2025.
Siku mbili kabla ya mkutano wa marais wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kuhusu mapigano yanayoendelea katika Jamhuri ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amepokea tuzo ya heshima ya ‘The Gates Goalkeepers Award’ kutambua juhudi zake za kupunguza vifo vya mama na mtoto kwa asilimia 80, kuboresha upatikanaji huduma za afya na kuk ...
Kuongezeka kwa ghasia za hivi majuzi huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kumesababisha hasara kubwa ya maisha, kiwewe, kuhama makazi, na uharibifu wa miundombinu muhimu ya afya, ...