Akizungumza katika mahojiano na Kituo cha Televisheni cha CNN jana Jumatatu, Januari 3, 2025, Rais Kagame amesema hafahamu ...
Wakati Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ikiapa kuurejesha Mji wa Goma, jiji lenye takriban watu milioni 3, kutoka mikononi mwa waasi wa M23, imeendelea kuishutumu Rwanda kwa madai ya ...
Nchi ya Rwanda imekanusha taarifa iliyodai kutolewa na mkutano wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), kuhusu ...
Tarehe 24 January 2025 Rais Tshisekedi alikatiza ziara yake mjini Davos baada ya mapigano makali kuzuka nchini mwake.
RAIS wa Rwanda Paul Kagame amesema amekubaliana na serikali ya Marekani ya kusitisha mapigano mashariki mwa Jamhuri ya ...
Serikali za Afrika Kusini na Rwanda zimeingia katika mzozo kutokana na vita vinavyoendelea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya ...
RAIS wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi, amesema kuwa wanajeshi wanapambana kurejesha maeneo ...