FAMILIA ya soka nchini imepata pigo jingine baada ya nyota wa zamani wa Nazareth ya Njombe, Simba, Mtibwa Sugar na Rayon Sports ya Rwanda, Geoffrey Mhando kufariki dunia asubuhi ya leo ...
Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Rwanda Amavubi amefariki dunia ... alikuwa kocha msaidizi katika timu yake ya zamani ya Rayon Sports.Msemaji wa timu hiyo Olivier Gakwaya ameiambia BBC ...