Dodoma Jiji wamepata ajali hiyo leo asubuhi wakitoka kwenye mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Namungo uliochezwa jana Uwanja wa ...
Mmiliki wa mtandao wa X na mfanyakazi katika kitengo cha ufanisi wa Serikali ya Marekani, Elon Musk, amerushiana maneno na Kiongozi Mkuu wa chama cha EFF cha Afrika Kusini, Julius Malema kwa ...
WAKALA bora, Mino Raiola, na ulimwengu wa uhamisho wa wachezaji wa soka ulikuwa unaenda naye sambamba. Raiola pengine alikuwa ...
Arsenal iko tayari kuvunja rekodi yao ya uhamisho msimu wa kiangazi kwa dau la £100m (euro 120m) kumsajili mshambuliaji wa Inter Milan na Argentina Lautaro Martinez, mwenye umri wa miaka 27.
Mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika umeagiza kutumwa mara moja kwa mawaziri wa ulinzi na wakuu wa ulinzi kwa nchi zinazochangia wanajeshi nchini DRC ...
KOCHA wa African Sports 'Wanakimanumanu', Kessy Abdallah amesema angalau kwa sasa timu hiyo inaendelea kuimarika tofauti na mwanzoni na sababu kuu ni mbili, kuchezea nyumbani na wachezaji kufuata ...
Kocha huyo wa zamani wa African Sports na Green Warriors, amejiunga na kikosi hicho akitokea Biashara United ya Musoma na ameungana kikosini na Bernard Fabian aliyeanza nacho msimu huu, ingawa kwa ...
Ikiwa sio risasi zinazokuua, ni magonjwa ya milipuko na hata janga ambalo litatuua" , amesema Jean Kaseya, Mkurugenzi wa Africa CDC. Inatokea sasa hivi ...
Each spotted Hyaena has its own whoop which can be recognized by other hyaena, explains one South Africa expert, (kila fisi mwenye madoa anakilio chake mwenyewe kinachoweza kutambuliwa na na fisi ...