SAKATA la Mtayarishaji wa Muziki nchini, Master Jay ambaye ni mmiliki wa MJ Records na mwimbaji nyota wa muziki wa kizazi kipya, Ali Kiba limefikia patamu, baada ya meneja wa Kiba aitwae Aidan Seif ...