Je, albamu hii mpya ya Nandy ina maana gani kutoka mwaka huu wa 2025 na kipi hasa tutarajie?, kuna mengi ya kuzungumza katika eneo hilo ila kwa sasa tutagusi haya matano yafuatayo. Mosi; Nandy ...
Alisema aliona sio vyema kukaa tu na kuchukua mshahara bila kucheza wakati kazi yake ni kucheza ndio maana akavunja mkataba ili atafute sehemu atakayokuwa anacheza. “Hii miezi sita sio rahisi kukaa tu ...