Jijini Goma mashariki mwa DRC, baadhi ya wakimbizi waliokimbia makazi yao kuhofia mapigano kati ya M23 na FARDC wameanza ...
Ndani ya siku chache tu tangu kuundwa kwa M23, mapigano makali yalizuka kati ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi wa M23 katika wilaya ya Rutshuru.
Janga la haki za binadamu katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) linaendelea kuzidi kuwa baya, wakati mapigano kati ya jeshi la serikali na kundi lenye silaha la M23 ...
Wataalamu hao walisema Sultani Makenga, aliyepigana upande wa Kagame mwanzoni mwa miaka ya 1990 nchini Rwanda na sasa ni mkuu ...