Jumuiya ya kimataifa imeitaka Rwanda kuondoa wanajeshi wake nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na kusitisha uungaaji wake mkono kwa waasi wa M23 wanaosema kwamba wanalenga kusonga mbele hadi mji m ...
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Félix Tshisekedi. Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Félix Tshisekedi amekionya kikundi cha waasi wa M23 akitangaza matumizi ya nguvu kutoka ...