Asili ya mzozo huu inaweza kueleweka kupitia hadithi ya mtu mmoja, kiongozi wa M23, Sultani Makenga, ambaye amekuwa ...
Mji wa uchimbaji madini wa Nyabibwe, yapata kilomita 100 kutoka Bukavu, mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kusini, umeangukia mikononi ...
Wataalamu hao walisema Sultani Makenga, aliyepigana upande wa Kagame mwanzoni mwa miaka ya 1990 nchini Rwanda na sasa ni mkuu ...
MAREKANI imezionya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kwamba upo uwezekano wa kuwawekea vikwazo maofisa wao.
UBELGIJI imeeleza kumwita Ofisa Mkuu wa Ubalozi wa Rwanda mjini Brussels, siku chache baada ya waasi wa M23 kuuteka Mji wa ...
Mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kusini, Bukavu, unajiandaa kushambuliwa na M23 na washirika wake Rwanda siku ya Ijumaa, ikionyesha mwendelezo wa mzozo huo ambao Umoja wa Mataifa unahofia kuwa "mbaya ...
WANAJESHI 75 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wanatarajiwa kupandishwa kizimbani leo kwa tuhuma za kukimbia mapigano ...
Milipuko ya mizinga imeitikisa Goma Jumatatu, saa chache baada ya wanajeshi wa Rwanda na wapiganaji kundi la waasi la M23 ...
Mamia ya wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) wameripotiwa kuuawa katika operesheni za siri Mashariki mwa Jamhuri ya ...
CONGO: WAASI wa M23 wameripotiwa kuendelea kusonga mbele kuelekea mji wa Bukavu, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ...
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi amesisitiza Jumatano kuwa wanajeshi wake wanapambana vikali ...
Mzozo kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na waasi wa M23 umechukua sura mpya baada ya Rais wa Afrika Kusini, ...