Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Wakati Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ikiapa kuurejesha Mji wa Goma, jiji lenye takriban watu milioni 3, kutoka mikononi mwa waasi wa M23, imeendelea ...
Wakati asilimia 70 ya misaada ya kibinadamu inayotolewa inatoka Marekani, DRC ni mojawapo ya nchi ambapo uamuzi wa hivi majuzi wa Donald Trump wa kusitisha fedha za Marekani kwa ajili ya maendeleo una ...
Katika taarifa iliyotolewa dakika chache zilizopita na Jeshi hilo kupitia mtandao wake wa X(Twitter) zimeeleza kuwa ,amluki hao walijisalimisha kwa vikosi vya M23 kufuatia kutekwa kwa mji wa kimkakati ...