Baada ya Nipashe kutoa ripoti ya uchunguzi iliyoonesha ni kwa namna gani hali ya rushwa kwa askari wa usalama barabarani ilivyokithiri mkoani Kigoma. Jeshi la polisi mkoani humo limewashikilia askari ...
WADAU wa afya nchini wametaja makundi yatakayoathirika na uamuzi wa kusitishwa ufadhili wa miradi ya afya, ukiwamo wa Mpango ...
Kutoka Februari 5, 1977, CCM ilipozaliwa baada ya kuunganisha vyama vya Tanu na ASP hadi Februari 5, 2025, ni miaka 48 ...
DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha Maashimisho ya Siku ya Wanawake ...
IMEELEZWA kuwa mashamba yasiyoendelezwa yamekua chanzo kikubwa cha migogoro ya ardhi wilayani Kakonko mkoani Kigoma ikiwemo ...
Wikiendi iliyopita Simba na Yanga zilimaliza mechi zao za viporo vyao vizuri na kuzidisha ushindani wa kuwania ubingwa wa ...
KUNA methali ya Kiswahili inayosema ‘Kuti la mazoea humwangusha mgema.’ Hiyo ikiwa na maana kwamba jambo ulilozoea kulifanya ...
JANA tulianza mfululizo wa makala maalumu juu ya ukiukwaji wa Kanuni ya Leseni za Klabu kuhusiana na timu za vijana tukaona ...