Waathiriwa wa mapigano kati ya M23 na FARDC ambao kwa sasa wanaiishi kwenye kambi za wakimbizi huko Goma mashariki mwa DRC,wamelalamikia kulazimishwa kuondoka kambini wakati huu hali ya wasiwasi ikien ...
UBELGIJI imeeleza kumwita Ofisa Mkuu wa Ubalozi wa Rwanda mjini Brussels, siku chache baada ya waasi wa M23 kuuteka Mji wa Goma ulioko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wizara ya Mambo ...
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imetoa wito kwa vikosi vya waasi wa M23 vinavyotajwa kuungwa mkono na Jeshi la Rwanda, kuondoa askari wake katika mji wa Goma, mashariki mwa nchi ...