Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew. Swali vichwani mwa wafuatiliaji masuala ya siasa, amani na usalama ni je, wakuu wa nchi ...
BAADA ya timu zao za kampeni kutambiana kwa mwezi mmoja, hatimaye Tundu Lissu amekuwa Mwenyekiti wa nne wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akimshinda Freeman Mbowe kwa tofauti ya kura 31.