Alilazwa hospitalini kwa muda mfupi mwishoni mwa wiki, huku waziri mmoja katika Serikali ya Uganda akisema hali yake ya afya inatisha.
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye amefunguliwa mashtaka ya uhaini, ikiwa ni sehemu ya msururu wa matatizo ya ...