Sera ya Kimataifa ya Kenya na kauli za Rais William Ruto zimetajwa kuwa mzigo mzito uliomharibia mgombea wa nchi hiyo, Raila ...
Kuingia kwenye siasa za Afrika kupitia uchaguzi wa AUC, kunaonekana na baadhi kama kutamuongezea nguvu kwenye siasa za Kenya, ...
Odinga ni mwanasiasa mkongwe ambaye anasifika kupigania mageuzi ya kisiasa nchini Kenya, harakati ambazo zilimfanya kukamatwa na kuachiliwa mara kwa mara tangu mwaka 1982 hadi 1991 wakati wa utawala ...
Viongozi wa nchi na serikali, wamekutana jijini Addis Ababa kujadili kuundwa kwa taasisi ya Afrika itakayoshughulikia ...