Mamlaka za afya nchini Tanzania zimethibitisha kuwepo kwa visa viwili vya ugonjwa wa Mpox baada ya watu wawili kugundulika ...
Dalili hizo ziliambatana na homa, maumivu ya kichwa, vidonda kooni, maumivu ya viungo vya mwili ikiwemo misuli na mgongo ...
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeeleza mikakati inayochukua kukabiliana na ugonjwa wa homa ya nyani (Mpox) ikiwa ni pamoja na ufuatiliaji wa magonjwa katika vituo vya afya na ...
Wizara ya Afya imewahimiza wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Mpox kwa kuepuka kushiriki vitu vya binafsi kama ...
Wizara ya Afya imethibitisha kuwepo kwa ugonjwa wa Mpox nchini, ambapo hadi sasa watu wawili wameugua, mmoja wao akiwa dereva ...
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO Mamlaka ya Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) inatarajia kuvuka lengo la ukusanyaji wa mapato iliyojiwekea kwa mwaka wa fedha ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ameadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake kwa kutoa wito wa kuchukua hatua kali kwa ajili ya usawa wa kijinsia, akionya kuwa haki za wanawake ...