Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi nchini Ethiopia kuanzia ...
Wakati Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA), Said Kiondo Athumani akikabidhiwa mikoba rasmi kuendesha taasisi ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kumpangia kituo cha kazi Balozi Habib Galuss ...
Chama cha Mapinduzi (CCM) katika kata za Izazi na Migori Wilaya ya Iringa Vijijini, kimewaonya viongozi wake dhidi ya tabia ...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, John Heche amesema kuanzia mwezi ujao chama hicho ...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema endapo foleni za magari zitapungua maeneo ya mijini zitaiongezea mapato Serikali, ...
Mkuu Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amewaagiza wakuu wa wilaya zote mkoani huo kukamata na kuondoka na gololi na fimbo ...
Licha ya mapokezi chanya ya wadau wa demokrasia kuhusu vuguvugu la mabadiliko lililotangazwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwa upande mwingine wameonyesha wasiwasi ...
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) imemaliza kusikiliza hoja za pande mbili katika kesi iliyofunguliwa na Jamhuri ya Kidemorasia ya Congo (DRC) dhidi ya Rwanda kuhusiana ...
Mkuu Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha amewataka watu kuacha Imani potofu kwamba vyandarua vinavyogawiwa bure na Serikali vinapunguza nguvu za kiume.
Baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Tanga waliojitokeza kuboresha taarifa zao kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura wamepongeza ...
Aliyekuwa Gavana wa Jimbo la Kiambu, Ferdinand Waititu, amehukumiwa kifungo cha miaka 12 jela ama kulipa faini ya Sh1.08 ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果