Wawakilishi wa Kanisa Katoliki (RC) lenye ushawishi mkubwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wamekutana na ...
Wakuu hao wamekutana kwa dharura jijini Dar es Salaam baada ya kundi la waasi wa M23 kuanzisha mapigano mapya mashariki mwa DRC. Kundi hilo limeuteka Mji wa Nyabibwe ulioko katika ukingo wa Ziwa Kivu, ...