Mamia ya wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) wameripotiwa kuuawa katika operesheni za siri Mashariki mwa Jamhuri ya ...
DRC na Rwanda, wamekuwa wakilaumiana kwa mzozo ulioanza tena Mashariki mwa Congo, huku waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda, wakiuteka mji mkuu wa mkoa Goma na kuendelea katika maeneo mengine zaidi ...
Kagame alisisitiza kuwa Rwanda itafanya kila linalowezekana kujilinda, huku akiishutumu Afrika Kusini kwa madai ya kutuma wanajeshi wake mashariki mwa DRC kwa lengo la kutafuta madini. Katika hatua ...
Ingawa hatua zilizotangazwa na wakuu wa nchi baada ya kikao chao cha kumaliza mgogoro Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ...