Kiongozi wa kisiasa wa kundi la waasi la M23 Corneille Nangaa ameapa kuwa wapiganaji wake hawatauachia mji wa Gomana kudokeza kuhusu azma ya kusonga mbele hadi mji mkuu Kinshasa. Umoja wa Mataifa umee ...
Kiongozi wa Kundi la M23, Corneille Nangaa amesema baada ya kuukamata mji wa Goma, wataendelea na mapigano hadi mji mkuu wa nchi hiyo, Kinshasa.
Kiongozi wa waasi ambaye wapiganaji wake wameuteka Goma, mji mkubwa zaidi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ameapa kuendelea na mashambulizi hadi mji mkuu, Kinshasa.
KUNDI la waasi la M23, limesema wanajipanga kusonga mbele na kuuteka pia mji mkuu wa Kinshasa licha ya kufanikiwa kuteka mji ...
Ibiro vy'abaserukira Urwanda, Uganda, Ubufaransa n'Ububirigi ku murwa mukuru wa Congo, Kinshasa, vyatewe n'abari mu ...
Wakati majeshi ya Rwanda yakishutumiwa kwa kusaidi M23 kayika vita vyake mashariki mwa DRC na kuongoza mashambulizi dhidi ya ...
Goma ni mji mkuu wa Mkoa wa Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), unaotajwa kuwa mji wa pili kwa ...
Waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa Jean-Noël Barrot yupo jijini Kigali, ambako anatarajiwa kukutana na rais wa Rwanda Paul ...
Hali ya usalama inavyo zidi kudorora katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ndivyo serikali ya Rais Tshisekedi inavyo ...
Kuongezeka kwa ghasia na mapigano makali kumewalazimu wengi, wengine wakiwa tayari walikuwa wakimbizi wa ndani kutokana na migogoro ya awali—kuhama tena limesema shirika la Umoja wa Mataifa la ...