KUSHINDA mechi ya ufunguzi wa michuano ya ICC League B dhidi ya Italy na tatu nyingine zinazofuata, ndio azma kuu ya timu ya Tanzania katika ligi hii kimataifa inayoanza kuchezwa rasmi ijumaa ...
Zaidi ya watu milioni moja laki mbili walio na virusi vya UKIMWI nchini Uganda wamo katika mashaka makubwa kufuatia hatua ya Marekani kusitisha ufadhili kwa huduma zinazotolewa kwao.