Inkuru nyamukuru yitezwe nyuma y'inama y'abakuru b'ibihugu bigize EAC n'ibigize SADC, mu gihe iyi miryango isa n’itabona ...
Muyaya yavuze ko hari imirambo irenga 2,000 igomba guhambwa. Si ubwa mbere Kinshasa ishinje ubwicanyi M23 - ivuga ko ari RDF ...
Yashimangiye ko ibi bikorwa byose byakongejwe n’abategetsi ba RDC, sosiyete sivile, Abanye-Congo baba mu mahanga n’itangazamakuru. Nyuma yo kubona ko ibikorwa biganisha ku gushaka amahoro arambye mu ...
MAREKANI imezionya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kwamba upo uwezekano wa kuwawekea vikwazo maofisa wao. Kabla ya mkutano wa kilele uliokusudiwa kushughulikia mzozo wa Mashariki mwa ...
Rais wa Rwanda Paul Kagame na Rais wa Kongo Félix Tshisekedi watashiriki katika mkutano usio wa kawaida wa pamoja wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika ...
NCHINI Congo DRC ni vilio, watu duniani wakiangalia runinga machozi yanawatoka wakisikitika ni miaka mingi zaidi ya 20 nchi ...
Wananchi wa Jamhuri ya Congo, au Congo-Brazaville, ni mashuhuda wa jinsi shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ulimwenguni, WHO limewasaidia kukabiliana na ugonjwa wa macho na ngozi unaosababishwa na ...
Ubuyobozi bwa Tour du Rwanda bwatangaje ko ikibazo cy'umutekano muke mu Burasirazuba bwa RDC cyatewe n'intambara hagati ya FARDC na M23 kitazakoma mu nkokora iri rushanwa rizenguruka Igihugu ku magare ...
Mkutano wa Dar es Salaam, unatarajiwa kwa mara ya kwanza kumkutanisha rais Tshisekedi na mwenzake wa Rwanda, Paul Kagame ... kinachotokea mashariki mwa Congo. Kwa sasa ni Jumuiya ya SADC pekee ...
Baada ya hali ya usalama kuzorota zaidi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), huku DRC na Rwanda zikishutumiana kuhusu msaada kwa waasi wa M23, wakuu wa mataifa ya Afrika Mashariki ...
Goma, jiji kubwa lenye zaidi ya watu milioni moja, lilitekwa na kundi la waasi la M23, linaloungwa mkono na Rwanda, lilipovamia mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo. SOMA: M23 hawajasitisha ...