Wakati DR Congo na Rwanda zikitupiana shutuma, watumiaji wa mitandao ya kijamii walikuwa wakizusha madai ambayo ...
Ndani ya siku chache tu tangu kuundwa kwa M23, mapigano makali yalizuka kati ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi wa M23 katika wilaya ya Rutshuru.
Pia, tuliona baada ya juhudi za jumuiya ya kimataifa, jioni ya Desemba 12, 2013, DRC ilisaini mkataba wa amani na M23 ...
Wataalamu hao walisema Sultani Makenga, aliyepigana upande wa Kagame mwanzoni mwa miaka ya 1990 nchini Rwanda na sasa ni mkuu ...