Kauli hiyo pia imeungwa mkono na mabosi wa Kilimanjaro Wonders ambayo itacheza Jumapili itawakabili Simba katika mashindano hayo. Wakizungumza kwa nyakati tofauti jana, viongozi wa timu hizo ...
TIMU za Taifa za Tanzania chini ya miaka 17, Serengeti Boys na ile ya chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes, kila moja ...
Safari hii, Yanga inakwenda kukutana na timu ambayo imefanya maboresho makubwa ya kikosi chake kupitia usajili wa dirisha dogo ikishusha nyota wapya 23 wakiwemo wazoefu waliowahi kutamba Simba na ...
Simba imefuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kibabe baada ya kuifunga CS Constantine ya Algeria mabao 2-0, na kuongoza kundi A kwa kufikisha pointi 13 ikiwaacha Waarabu hao nafasi ...
KOCHA wa Simba, Fadlu Davids ameonyesha kufurahishwa na viwango vya wachezaji wa timu hiyo na kuwamwagia sifa kutokana na kuonyesha ukomavu na kupata matokeo ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya CS ...