Kivutio kikubwa katika onyesho hilo ni baada ya wasanii waliokuwa wakiunda kundi la Sauti Sol Kenya, kuingia kwa kushtukiza na kuungana na Burna Boy jukwaani na kutumbuiza wimbo wa 'Time Flies' ...
Kuanza kuwaambia watu warudie yale waliyoyasema. Kuanza kusikia vizuri mzungumzaji anapozungumza kwa sauti kubwa. Mtu anapotazama televisheni au anaposikiliza redio kwa sauti ya juu. Kuhisi sauti ...
如何在Solana上Staking? Solana staking的运行方式类似于所有权益证明区块链协议。一旦你承诺并锁定了你的SOL加密货币,您就可以帮助确保网络安全,而作为回报,你将在结清验证方的基本费用后获得新创造的SOL代币。 而且,如果你有技术能力,你还可以运营自己 ...
Kutana na Francine Aka Epse Akaanghui Rais wa Chama cha wanasheria wanawake nchini Côte d'Ivoire huko Afrika Magharibi.
Sarafina Simioni, binti mdogo lakini mwenye sauti kubwa, ni miongoni mwa mashujaa wa zama hizi. Ni mwanaharakati shupavu wa masuala ya jinsia nchini Tanzania, anayejituma kuelimisha na kuhamasisha ...
To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video ...
Zanzibar. Tamasha la Muziki la Sauti za Busara la 22, lililoanza Februari 14, 2025 limetamatika usiku wa kuamkia leo Jumatatu Februari 17, 2025 kwa burudani ya kusisimua kutoka kwa wasanii wa ndani na ...
DAR ES SALAAM: TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inatarajia kuanza kufanya upasuaji wa ubongo kwa kutumia mawimbi ya sauti. Hatua hiyo inaifanya hospitali hiyo kuwa ya kwanza kwa ...
Ujumbe wa sauti wa takriban sekunde thelathini uliorekodiwa saa chache mapema na Papa kwenye kitanda chake cha hospitali. “Nawashukuru kwa moyo wangu wote kwa maombi mnayofanya kwa ajili ya afya ...
Buriani Doyi Moke, nenda kamanda msalimie Patrick Mafisango. Kwa hakika tutakukumbuka kwa kazi kubwa ya kuwapa burudani mashabiki wa Simba na Yanga KIPA wa Dodoma Jiji, Mkongomani Alain Ngeleka ...
Polisi katika jimbo la Massachusetts nchini Marekani wanachunguza tukio la kuchomwa moto kwa vituo saba vya kuchaji magari aina ya Tesla. Tesla ni kampuni ya magari yanayotumia umeme. Inamilikiwa ...