"Maadamu watoto wetu wangali hai, hatutaondoka Gaza, na hatutaiacha." Kwa Jamalat Wadi, na kwa Wapalestina walio wengi zaidi huko Gaza, pendekezo la Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu uwezekano ...
Arsenal iko tayari kuvunja rekodi yao ya uhamisho msimu wa kiangazi kwa dau la £100m (euro 120m) kumsajili mshambuliaji wa Inter Milan na Argentina Lautaro Martinez, mwenye umri wa miaka 27 ...