Hali ya wasiwasi inaongezeka katika mji wa Bukavu uliopo jimbo la Kivu Kusini nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kufuatia kuwepo kwa waasi wa M23 katika wilaya jirani ya Kalehe kwa zaidi ya wiki m ...
Kundi la waasi la M23 na Jeshi la Ulinzi la Rwanda wanapambana na majeshi ya DRC ... ikiwa ni pamoja na yale yanayolenga watu wanaoonekana kuwa wa jamii ya Kitutsi au wanaochukuliwa kuwa wasaliti.