Rais Paul Kagame amjibu Rais Cyril Ramaphosa na kuashiria mzozo mbaya wa kidiplomasia kati ya Afrika Kusini na Rwanda.