TETESI za usajili zinasema Manchester United imeonesha nia kumsajili kiungo mshambuliaji wa Roma, Paulo Dybala majira yajayo ya kiangazi ambapo atakuwa amebakisha mwaka mmoja katika mkataba wake.