Mwandishi mahiri wa riwaya nchini, Faki A. Faki anakuja na mzigo mpya kabisa wa kisa cha upelelezi, mapenzi na maisha ya ...
Bawa la kulia la ndege ya shirika la ndege la Japan Airlines, JAL limegonga mkia wa ndege ya kampuni ya Delta Air kwenye ...
Mkazi wa Jiji la Dar es Salaam, Nargis Omar(70) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka mawili ya ...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amekerwa na baadhi ya watoa huduma katika kituo cha huduma kwa wateja ...
KAMPUNI ya Bolt imezindua "Trusted Contacts" kitawawezesha abiria na madereva kuongeza majina na namba za simu za marafiki.
WATU wanne wamehukumiwa kifungo cha maka 42 gerezani baada ya kupatikana na hatia katika kesi namba 5,537 ya mwaka 2024 ya ...
Ikigo ''Urukundo'' cashinzwe n'abapatiri hamwe n'ababikira b'Abataliyano i Mutoyi muri komine Bugendana y'intara ya Gitega, ...
WAKATI kwa mujibu wa Shirikisho la Kimataifa la Historia ya Soka na Takwimu (IFFHS), Ligi Kuu Bara kwa sasa ikishika nafasi ...
Jiji la Goma lenye wakaazi milioni moja hadi hivi majuzi lilikuwa na watu wengi sawa na waliokimbia makazi yao kutokana na ...
Shirika la habari la NBC NEWS linaripoti kuwa abiria 60 na wafanyakazi wanne walikuwa ndani ya ndege iliyoanguka katika mto Potomac karibu na Uwanja wa Ndege wa Taifa wa Ronald Reagan Washington viung ...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma imekamata mbolea ya ruzuku iliyokuwa ikiuzwa kwa bei ya ...
Katika orodha ya wasanii waliofanya vizuri kwa mwaka 2024 kupitia majukwaa ya kusikiliza muziki, Diamond amekuwa namba moja kwenye mitandao yote huku kukiwa na utofauti mkubwa wa namba kati yake na ...