Dodoma Jiji wamepata ajali hiyo leo asubuhi wakitoka kwenye mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Namungo uliochezwa jana Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa na kumalizika kwa sare ya mabao 2-2.
Mmiliki wa mtandao wa X na mfanyakazi katika kitengo cha ufanisi wa Serikali ya Marekani, Elon Musk, amerushiana maneno na Kiongozi Mkuu wa chama cha EFF cha Afrika Kusini, Julius Malema kwa ...
WAKALA bora, Mino Raiola, na ulimwengu wa uhamisho wa wachezaji wa soka ulikuwa unaenda naye sambamba. Raiola pengine alikuwa ...
KAMPUNI ya Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kwa kushirikiana na Kampuni ya African Carbon Agency imezindua zoezi la upandaji miti katika vituo vya mabasi ya mwendokasi kutoka Morroco kuelekea Magomeni ...