Dar es Salaam. Unaweza kusema ni lugha gongana kutokana na kauli za mama wa msanii na mfanyabiashara Hamisa Mobetto, Shufaa ...
STORI inayobamba kwa sasa kwenye vyombo vya habari ni ndoa ya Stephane Aziz Ki na Hamisa Mobetto, ingawa wapo waliofika mbali ...
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amewataka vijana nchini waliobahatika kuwa na wazazi walio hai kujenga utamaduni wa ...
MAMA wa msanii wa Bongo Flava na mjasiriamali, Hamisa Mobeto, Shufaa Rutiginga amesema mwanaye huwa hamfichi jambo lolote ...
Waziri wa Madini Anthony Mavunde, amesema likizo ya uzazi kwa mwajiriwa ambaye atajifungua mtoto njiti itajumuisha na muda uliobaki kufikia wiki 40 za ujauzito na Baba atapewa siku saba za mapumziko.