Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda sasa wanaudhibiti na kuuendesha mji wa Goma ambao ndio mkubwa na muhimu zaidi katika eneo la mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC). Mji wa Goma ...
Mwanza. Muungano wa makundi ya waasi ya AFC na M23, umetangaza kusitisha mapigano nchini humo kwa kile ambacho umedai ni uwepo wa janga la kibinadamu linalolikumba taifa hilo. “Muungano wa Alliance ...