Vifaa hivyo ni vile vitakavyonunuliwa kupitia Sh27.3 bilioni zilizotolewa na Serikali ya Japan kama msaada kwa ajili ya kuboresha huduma hizo katika hospitali za Dodoma, Tumbi (Pwani), Mount Meru ...