Kundi la waasi la Machi 23 (M23) na wanajeshi wa Rwanda wameanzisha mashambulizi mapya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) siku ya Jumatano, Februari 5, kuelekea Bukavu ...
Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda sasa wanaudhibiti na kuuendesha mji wa Goma ambao ndio mkubwa na muhimu zaidi katika eneo la mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC). Mji wa Goma ...
Wakati huo huo, waziri wa mambo ya nje wa Rwanda amekanusha shutuma za SADC kwamba jeshi la nchi yake limeshirikiana na waasi wa M23 katika kushambulia vikosi vya Congo, wanachama wa SADC na raia ...
Mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kusini, Bukavu, unajiandaa kushambuliwa na M23 na washirika wake Rwanda siku ya Ijumaa, ikionyesha mwendelezo wa mzozo huo ambao Umoja wa Mataifa unahofia kuwa "mbaya ...
MAREKANI imezionya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kwamba upo uwezekano wa kuwawekea vikwazo maofisa wao. Kabla ya mkutano wa kilele uliokusudiwa kushughulikia mzozo wa Mashariki mwa ...
Minisitiri Nduhungirehe yagaragaje ko u Rwanda ruzakomeza gukaza ubwirinzi bwarwo kuko rwabonye inyandiko zigaragaza ko Ingabo za RDC, FDLR, Ingabo z’u Burundi, SAMIDRC, abacanshuro b’u Burayi n’indi ...
Ubuyobozi bwa Tour du Rwanda bwatangaje ko ikibazo cy'umutekano muke mu Burasirazuba bwa RDC cyatewe n'intambara hagati ya FARDC na M23 kitazakoma mu nkokora iri rushanwa rizenguruka Igihugu ku magare ...
Rais wa Rwanda Paul Kagame (kulia) akiwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Jeshi la Ulinzi na Mkuu wa Idara ya Inteljensia nchini humo, Kayumba Nyamwasa. Picha na Mtandao Dar es Salaam. Wakati Rais wa Rwanda, ...
Dar es Salaam. Mkutano wa marais wa nchi wanachama za Jumuiya ya Maendeleo ya kusini mwa Afrika (Sadc) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), unatarajiwa kuwakutunaisha Rais Paul Kagame wa Rwanda na ...
Kupitia tarifa yao iliyotolewa mjini Geneva Uswis wataalam hao wamesema “Tangu mapema Januari mwaka huu, mapigano kati ya kundi la waasi la M23 linaloungwa mkono na Rwanda na jeshi la DRC, likisaidiwa ...
Umoja wa Mataifa (UN) umesema vita vya kuwania mji muhimu wa Goma, ambao M23 na wanajeshi wa Rwanda waliuteka wiki iliyopita, vimesababisha vifo vya watu 2,900 zaidi ya ile idadi iliyotahwa hapo awali ...
Leo wasafiri walionekana zaidi katika kituo cha mpaka kati ya DRC na Rwanda kwenye kizuizi kikubwa. Vikosi vya M23 vinaonekana katika mizunguko. Kwa sasa, waasi wa M23 tayari wamechukua udhibiti wa ...