KIGOMA: WAZIRI Kivuli Ofisi ya Waziri Mkuu-Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira wa Chama cha ACT Wazalendo Mhandisi Ndolezi Petro ametangaza rasmi nia ya Kugombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini.
Mhandisi Ndolezi alitangaza nia hiyo katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana katika Kijiji cha Nguruka, Kata ya Nguruka, jimbo la Kigoma Kusini. Akiwahutubia wananchi, alieleza kuwa ameamua ...