Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imeahidi kutoa Dola za Marekani 2.5 bilioni sawa na Sh6.4 trilioni, kwa ajili ya ...
WANAFUNZI wa shule ya Sekondari Mkabuye iliyopo wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma wametoa shukrani zao kwa Rais Samia Suluhu ...
Mhandisi Ndolezi alitangaza nia hiyo katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana katika Kijiji cha Nguruka, Kata ya Nguruka, jimbo la Kigoma Kusini. Akiwahutubia wananchi, alieleza kuwa ameamua ...
Baada ya Nipashe kutoa ripoti ya uchunguzi iliyoonesha ni kwa namna gani hali ya rushwa kwa askari wa usalama barabarani ilivyokithiri mkoani Kigoma. Jeshi la polisi mkoani humo limewashikilia askari ...
Wastani wa watu 16 wakiwemo watoto wenye umri chini ya miaka mitano na wajawazito hufariki kila wiki moja kutokana na ugonjwa wa malaria ndani ya kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu iliyopo ...
Februari 23 itakuwa Kigoma kucheza na Mashujaa. Mzunguko wa kwanza Yanga ilishinda 3-2 huku Prince Dube akitupia hat trick ya kwanza ya ligi msimu huu ambayo hadi sasa imebakia kuwa ni hiyo tu.
KIGOMA: WAZIRI Kivuli Ofisi ya Waziri Mkuu-Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira wa Chama cha ACT Wazalendo Mhandisi Ndolezi Petro ametangaza rasmi nia ya Kugombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini.
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果