Baada ya Nipashe kutoa ripoti ya uchunguzi iliyoonesha ni kwa namna gani hali ya rushwa kwa askari wa usalama barabarani ilivyokithiri mkoani Kigoma. Jeshi la polisi mkoani humo limewashikilia askari ...
Wastani wa watu 16 wakiwemo watoto wenye umri chini ya miaka mitano na wajawazito hufariki kila wiki moja kutokana na ugonjwa wa malaria ndani ya kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu iliyopo ...