Si ubwa mbere Kinshasa ishinje M23 - ivuga ko ari ingabo z'u Rwanda ziyikoresha - ubwicanyi nyuma yo gufata agace runaka, ...
Wakati DR Congo na Rwanda zikitupiana shutuma, watumiaji wa mitandao ya kijamii walikuwa wakizusha madai ambayo ...
Wakati Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ikiapa kuurejesha Mji wa Goma, jiji lenye takriban watu milioni 3, kutoka mikononi mwa waasi wa M23, imeendelea kuishutumu Rwanda kwa madai ya ...
Rais wa Rwanda Paul Kagame na Rais wa Kongo Félix Tshisekedi watashiriki katika mkutano usio wa kawaida wa pamoja wa Jumuiya ...
Kundi la M23 linalodaiwa kuungwa mkono na Rwanda limekuwa kwenye mapigano ya muda mrefu na Serikali ya DRC, ambapo sasa ...
Wakuu wa nchi kutoka Jumuiya ya maendeleo ya kusini mwa Afrika SADC na wale wa Afrika Mashariki, Ijumaa na Jumamosi ya wiki ...
Jumuiya ya kimataifa ikiwemo Umoja wa Mataifa (UN) imekuwa ikiishutumu Rwanda kwa kuwafadhili waasi hao wa M23, tuhuma ambazo ...
WAASI wa M23 wametangaza kusitisha mapigano leo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuruhusu misaada ya kibinadamu ...